CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Hii ni fedheha kwa nchi yetu aisee, hivi rais wa nchi anajisikiaje kama anashuhudia hii mechi kupitia runinga?
 
Kituko cha mwaka......

Ambulance inatumika kumulika jukwaa la zawadi...!!!!!!!!!!!!.................Makubwa

Halafu Super Sport wapo live........

Supersport wamekata sasa wanaonesha ligi ya kenya. wapo uwanjani nadhani wanarekodi
 
aibuuuu kubwa sana hii hata standby generator hakuna uwanja huu mzuri namna hii duh
 
Kituko cha mwaka......Ambulance inatumika kumulika jukwaa la zawadi...!!!!!!!!!!!!.................MakubwaHalafu Super Sport wapo live........
Nchi ya maajabu kweli hii! Hakuna hata standby generator?
 
Ngeleja hureeeeeeeeeeeeeee
Hadhi ya uwanja haiendani kabisa na kinachoendelea hapo uwanjani.
Hivi hawa wapuuzi watakuja na ngojera gani jamani, kukabidhiana kombe kwa mwanga wa gari.
Sahauni kuomba michuano yoyote mikubwa kufanyikia hapa
 
Hii aibu ya pili kwa uwanja huu baada ya ile ya wimbo kugoma kupiga!
 
Hawa nao wamechokak uona giza tushushieni Link nyengine.
 
Hii ni fedheha kwa nchi yetu aisee, hivi rais wa nchi anajisikiaje kama anashuhudia hii mechi kupitia runinga?
Rais wa nchi gani? Kama ni wa Bongo ataona poa tu. Au ulitaka ageuke jenereta akafue umeme pale uwanjani? Teh teh teh.....!
 
Nilitegemea kitu kama hiki kutokea. But what can we expect with the "magambas" in power? Acha shida zizidi pengine wabongo ambao bado wanang'ang'ana na chama cha magamba watatia akili.
 
dis iz not fair at all jamani
Hata star tv wanamaliza fasta fasta kuepuka laana hii ya ngeleja
 
Back
Top Bottom