Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Wamekosa jingine..
Lingine hilo...............Kona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekosa jingine..
timu za wenzetu ziko serious kweli yaani ukikaa vipaya wana kutwanga za kutosha..safi sanaMatokeo ya Morogoro:
Ulinzi Stars 9:1 Port (Full Time)
St.George 1:1 APR (Mechi inaendelea)
Yanga ina wafungaji watatu wazuri inakuwaje wanashindwa kutupia nyavuni...Hawa yanga wanashambulia kama nyuki lakini hakuna magoli.
Hawa yanga wanashambulia kama nyuki lakini hakuna magoli.
Yanga ina wafungaji watatu wazuri inakuwaje wanashindwa kutupia nyavuni...
Watasema bahati siyo ya kwao...Halafu baadaye visingizio kibao
Not only football comentators but football players.To be honest.............Tanzania hatuna football comentators....
Kaumia tena....Huyu kipa wa Elman hovyoooooooooooo............Ona anavyojirusharusha
Nadhani tukiwa na players wazuri basi commentators nao wataimpruvu!Not only football comentators but football players.
Not only football comentators but football players.
Kaumizwa baoloji....Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....Huyu kipa ana vituko kweli.......Yaani kila shuti likipigwa lazima aumie.......Mdebwedoooooo.....Shuti la Hamis Kiiza linamletea madhara golikipa......lol