CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Watangazaji hawa ni kuponda tu muda wote!
 
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Yanga bana..................Washarizika na kagoli kamoja eti
 
Tegete anapasha.....bado dakika 6 mpira uishe!
 
mi nilitegemea mechi ya Yanga na Elmani itakuwa kali na Yanga kuonyesha kiwango cha hali ya juuu, kumbe nao hamna kitu!!!!.
 
mi nilitegemea mechi ya Yanga na Elmani itakuwa kali na Yanga kuonyesha kiwango cha hali ya juuu, kumbe nao hamna kitu!!!!.

Hamna kitu mkuu...........Mpaka aibu yaani....

Yanga hawajatulia kabisa na kipindi cha pili hakuna maelewano uwanjani.......
 
Yanga forward yetu hamna kitu............

Hamis Kiiza kakosa goli la wazi kabisa.......

Eti Tegete ndio anaingia saa hizi.....
 
Hawa Yanga vipi??????

Mbona wanakosa magoli ya wazi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Tanesco wamechukua chao, endelea kutujuza ambao mnaona jamani
 
Gooooooooooooooooooal

Yanga 2 Elman 0....................Hamis Kiiza
 
Yanga wamepata goli la pili Kiiza Hamisi...
 
Kocha wa Yanga kaharibu kweli leo......

Mpira umekwisha Yanga 2 Elman 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…