CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Simba1.Juma kaseja 2.Salum kanoni3.patrick Mafisango 4.Derrick5.Juma Nyoso 6.Haruna moshi7.Athuman Idd 8.Mohamed Simba Banka 9.Salum Machaku10. Amir Mafuta11.Shija MkinaHapa hakuna mfungaji karibu wote ni viungo...
Ni kweli lakini naona Simba leo wako njema.
 
dk31 Etincelles 0: 1 simba
 
Simba
1.Juma kaseja
2.Salum kanoni
3.patrick Mafisango
4.Derrick
5.Juma Nyoso
6.Haruna moshi
7.Athuman Idd
8.Mohamed Simba Banka
9.Salum Machaku
10. Amir Mafuta
11.Shija Mkina

Hapa hakuna mfungaji karibu wote ni viungo...

Mkuu Mafisango yuko benchi, pale namba sita uwanjani kuna Jerry Santo.
 
dk43 Etincelles 0: 1 simba
 
Half time Etincelles 0: 1 simba
 
Musa mgosi kaipatia Simba goli la pili dakika ya 75.
 
dk 75 Mgosi kaipatia simba goal la pili
 
dk 89 Et 0:2 Simba
 
Simba wanawakosakosa kweli hawa Enticels!
 
Full time: Simba wameshinda kwa goli mbili bila, Tunawataka watani wetu washinde kesho ili ikiwezekana tukutane huko mbele, sie tunatangulia robo fainali.
 
Full time: Simba wameshinda kwa goli mbili bila, Tunawataka watani wetu washinde kesho ili ikiwezekana tukutane huko mbele, sie tunatangulia robo fainali.

Watatimua kama mwaka ule ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…