Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakini naona Simba leo wako njema.Simba1.Juma kaseja 2.Salum kanoni3.patrick Mafisango 4.Derrick5.Juma Nyoso 6.Haruna moshi7.Athuman Idd 8.Mohamed Simba Banka 9.Salum Machaku10. Amir Mafuta11.Shija MkinaHapa hakuna mfungaji karibu wote ni viungo...
Simba
1.Juma kaseja
2.Salum kanoni
3.patrick Mafisango
4.Derrick
5.Juma Nyoso
6.Haruna moshi
7.Athuman Idd
8.Mohamed Simba Banka
9.Salum Machaku
10. Amir Mafuta
11.Shija Mkina
Hapa hakuna mfungaji karibu wote ni viungo...
Hii timu haiwezi ika kipimo timu ni hovyo kabisa nafikiri ushindani tutauona kwenye robo fainali...Ni kweli lakini naona Simba leo wako njema.
asante kwa masahihisho...Mkuu Mafisango yuko benchi, pale namba sita uwanjani kuna Jerry Santo.
Full time: Simba wameshinda kwa goli mbili bila, Tunawataka watani wetu washinde kesho ili ikiwezekana tukutane huko mbele, sie tunatangulia robo fainali.