CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Naona Yanga wanaanza kuonyesha watu wao ni nani . . .
 
Karibuni robo fainali, sisi tumeshafika siku nyingi tumepumzika, vipi mtakunywa maji au soda, vinywaji vikali hatuna.
 
Karibuni robo fainali, sisi tumeshafika siku nyingi tumepumzika, vipi mtakunywa maji au soda, vinywaji vikali hatuna.

Hahahaha ahhahaha aha ahah aahahahah
Unakaribisha huku unatetemeka
 
Kipindi cha pili tayari kimeanza...

Yanga 2 Bunamwaya 0
 
Naona Yanga wanaanza kuonyesha watu wao ni nani . . .

Nimeipenda sana hii mbinu aliyoitumia Sam Timbe ya kuweka mabeki wawili wa kulia,Shdrack Nsajigwa na Godfrey Taita......Inawachanganya sana hawa Bunamwaya........
 
Julius Mrope for Shadrack Nsajigwa(substitution)....
 
Bunawanya wanashambulia kwa kasi...
 
Gooooooooooooooooal

Bunamwaya wanapata goli dk ya 62

Yanga 2 Bunamwaya 1
 
Bunawanya wanapata goli la kwanza, bonge la goli...
 
kitendo cha Yanga kupunguza kasi ktk hiki kipindi cha pili kitawagarimu.
 
Kocha kafanya kosa kubwa sana kumtoa Nsajigwa na kumuingiza Mrope.....Mashambulizi kulelekea Yanga yameongezeka sasa...
 
Huyu Berko hawezi kucheza mipira ya krosi.
 
Kocha kafanya kosa kubwa sana kumtoa Nsajigwa na kumuingiza Mrope.....Mashambulizi kulelekea Yanga yameongezeka sasa...
Hajaleta mabadiliko yoyote, bora nsajigwa alikuwa anacheza vizuri.... Asamoah anapasha...
 
Kocha kafanya kosa kubwa sana kumtoa Nsajigwa na kumuingiza Mrope.....Mashambulizi kulelekea Yanga yameongezeka sasa...

Hata mi naona hili ndo tatizo
Nsajigwa alikuwa anawanyima raha hawa Waganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…