Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibuni robo fainali, sisi tumeshafika siku nyingi tumepumzika, vipi mtakunywa maji au soda, vinywaji vikali hatuna.
Naona Yanga wanaanza kuonyesha watu wao ni nani . . .
Huyu Berko hawezi kucheza mipira ya krosi.
Hajaleta mabadiliko yoyote, bora nsajigwa alikuwa anacheza vizuri.... Asamoah anapasha...Kocha kafanya kosa kubwa sana kumtoa Nsajigwa na kumuingiza Mrope.....Mashambulizi kulelekea Yanga yameongezeka sasa...
Kocha kafanya kosa kubwa sana kumtoa Nsajigwa na kumuingiza Mrope.....Mashambulizi kulelekea Yanga yameongezeka sasa...
Hajaleta mabadiliko yoyote, bora nsajigwa alikuwa anacheza vizuri.... Asamoah anapasha...