CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Yanga wakizubaa jamaa wanasawazisha muda si mrefu....
 
Mwape kacheza rafu ya kijinga na kaonyeshwa kadi ya njano.
 
Hawa Yanga watany.a unga muda si mrefu, kama hawatabadilika!
 
Waungwana hebu tupeni 1st eleven ikoje
1. Yaw Berko
2. Godfrey Taita
3. Oscar Joshua
4. Chacha Marwa
5. Bakari Mbegu
6. Nurdin Bakari
7. Shadrack Nsajigwa/Julius Mrope
8. Rashid Gumbo
9. Davies Mwape
10.Hamis Kiiza
11.Kigi Makassy/Kenneth Asamoah
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooal

Yanga 2 Bunamwaya 2....
 
Hivi nafasi ya Yanga mpaka sasa ikoje..........wamesawazisha!
 
dk ya ngapi?

Dk ya 76....

Yanga 2 Bunamwaya 2

Kocha kafanya makosa sana kufanya substitution isiyo na maana kwa kumtoa Shadrak Nsjigwa na kumuingiza Julius Mrope.....

Matokeo yakiwa hivi Yanga wanaenda nje ya mashindano.......
 
Yanga wanaweza kufungwa kwa mpira huu wanaocheza...
 
Huyu kocha ndio kawalostisha Yanga...
 
Dk ya 76....

Yanga 2 Bunamwaya 2

Kocha kafanya makosa sana kufanya substitution isiyo na maana kwa kumtoa Shadrak Nsjigwa na kumuingiza Julius Mrope.....

Matokeo yakiwa hivi Yanga wanaenda nje ya mashindano.......

Yaani anapunguza mabeki anaongeza washambuliaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…