CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Napenda sana Bunamwaya wasonge mbele.......Ni vijana na wanacheza soka la kuvutia hasa,la kitabuni.....Wametutoa kamasi kweli Yanga leo...
 
bila wasi wasi..APR wanarudi kwao rwanda kwa ndege moja pamoja na entincelles..! criteria zote za kimataifa wameshindwa.. APR GD-2, BUNAMWAYA GD-3 NA SCORED GOAL IS 5vs7 kwisha habari yao! sasa simba kukutana na bunamwaya

Kama ulikuwepo FIFA mkuu
Yaani sijui miujiza gani itaibakisha APR
 
Napenda sana Bunamwaya wasonge mbele.......Ni vijana na wanacheza soka la kuvutia hasa,la kitabuni.....Wametutoa kamasi kweli Yanga leo...

Best looser yupo clear mkuu
Ni Bunamwaya ya Uganda
Labda CECAFA wachakachue tu
Sioni kanuni ya kuitoa Bunamwaya FC
 
bila wasi wasi..APR wanarudi kwao rwanda kwa ndege moja pamoja na entincelles..! criteria zote za kimataifa wameshindwa.. APR GD-2, BUNAMWAYA GD-3 NA SCORED GOAL IS 5vs7 kwisha habari yao! sasa simba kukutana na bunamwaya

Hivi kama ndo mashabiki wa Simba mnachagua kati ya APR na Bunamwaya FC mngechagua nani??
Heheheheh heheheh
 
Shukrani ndugu
Ila mi naamini Yanga ni wazuri sana
Kama kocha asipoharibu hii first eleven aliyoanzisha leo, sioni shida ya ubingwa.
Yaani akomae kukaza beki tu.
Kweli hiyo red inanionyesha kuwa kocha hanayo kazi zaidi ya kufundisha. fafanua please
 
Kweli hiyo red inanionyesha kuwa kocha hanayo kazi zaidi ya kufundisha. fafanua please

Si ajabu ni komenti yako ya kwanza kwenye hii thread
Wewe pekee hujaelewa, au sio?
Kuna jamaa yangu anakujua kwa coach Timbe, nipe namba yako akutafute then akupeleke kwa ufafanuzi zaidi
 
Hivi kama ndo mashabiki wa Simba mnachagua kati ya APR na Bunamwaya FC mngechagua nani??
Heheheheh heheheh

Napenda sana Simba wakutane na Bunamwaya................
 
Hivi kama ndo mashabiki wa Simba mnachagua kati ya APR na Bunamwaya FC mngechagua nani??
Heheheheh heheheh

Kaka, sisi hatuogopi timu: Kumbuka Simba ndo timu pekee ambayo haijaconcede goli hata moja kwenye haya mashindano mpaka muda huu ninavyoandika na Simba ndo timu inayoongoza kwa kulitwaa kombe mara nyingi zaidi ya timu zote, kwa hiyo timu yoyote ikija mbele yetu hatuogopi tukifungwa basi ni sehemu ya mchezo, tuliwataka sana St.George ili tuwapunguze mapema tubaki na vibonde wengine tushushie tu kwa raha zetu huku tumekunja nne.
 
Ukiangalia timu zilizocheza na Simba ktk group lake hazifanani hata kidogo na Bunamwaya FC au El Mereikh.
Ukiangalia Simba mechi 3 magoli matatu. Yaani Yanga akikutana na timu yoyote ktk kundi la Simba ujue ameshaingia Semi final
 
Napenda sana Simba wakutane na Bunamwaya................

teh teh teh, mkuu baada ya kutolewa jasho mnataka na sie majirani zenu twende tukajionee wenyewe, siku hiyo taifa patachimbika, Oweni atakabwa na ndugu yake Derick na atakuwa hakatizi, Simba wafungaji ndo hatuna hivi hatuwezi kufanya mpango mtuazime hata Tegete kwa muda, ujirani kusaidiana.
 
Ukiangalia timu zilizocheza na Simba ktk group lake hazifanani hata kidogo na Bunamwaya FC au El Mereikh.
Ukiangalia Simba mechi 3 magoli matatu. Yaani Yanga akikutana na timu yoyote ktk kundi la Simba ujue ameshaingia Semi final

Tatizo letu sisi hatuna wafungaji, tunammisi sana Emmanuel Okwi sijui kwa nini walishindwa kumjumuisha kwenye haya mashindano halafu Mgosi naye sijui ndo kaanza kuzeeka, matumaini yetu ni beki na kipa wako imara sana, vipi hamuwezi kutuazima tegete maana nyie hammutumii kabisa.
 
Heheh hehehMtu mliyem-miss sio Okwi, ni Samatta.Tegete watamkataa mashabiki wa Simba maana ndo alikuwa akiwatungua kila mara ligi ya Voda. Ila wajanja nyie, mtamuiba mkiona anapiga mabao
 
Tegete wacha akae kwanza benchi then akirudi uwanjani atakuwa amekuwa vizuri na atapiga kandanda vizuri kabisa...
 
Ukiondoa mechi hii na ile ya Moro, hakuna nyingine iliyopigwa leo taifa?
 
Ukiondoa mechi hii na ile ya Moro, hakuna nyingine iliyopigwa leo taifa?

Zimechezwa mechi nne, Morogoro mbili: St.George 7-0 Ports, APR 0-0 Ulinzi; na Dar mbili: Yanga 3-2 Bunamwaya, Elmereikh 3-0 Elmania.
 
Heheh hehehMtu mliyem-miss sio Okwi, ni Samatta.Tegete watamkataa mashabiki wa Simba maana ndo alikuwa akiwatungua kila mara ligi ya Voda. Ila wajanja nyie, mtamuiba mkiona anapiga mabao

Samatta kina Rage washakula faranga toka Katanga, huyo ndo basi tena ila Okwi bado hatujaambiwa sijui yuko wapi.
 
Zimechezwa mechi nne, Morogoro mbili: St.George 7-0 Ports, APR 0-0 Ulinzi; na Dar mbili: Yanga 3-2 Bunamwaya, Elmereikh 3-0 Elmania.
So Yanga possible atakutana na Vital'O,Simba na Bunamwaya.El Mereikh naona atakutana na St. Geogre au UlinziThen Red Sea atakipiga pia na Ulinzi au St Geogre.
 
Nimekosea aiseeOcean View nao wapo
 
So Yanga possible atakutana na Vital'O,Simba na Bunamwaya.El Mereikh naona atakutana na St. Geogre au UlinziThen Red Sea atakipiga pia na Ulinzi au St Geogre.

Kundi la simba kuna Ocean view, so far ni simba(7pts) peke yake ndo ana uhakika hao ocean view(6pts), vital'o(4pts) na red sea(6pts) mmoja wao anatakiwa atoke,
 
Nimeamini Sam Timbe ni mtu wa maajabu wakuu.............

Hawategemei matokeo ya Morogoro?
katika hizo comments hapo juu,inaoshesha ni jinsi gani mlivyokomaa katika uchambuzi wa soka,sioni ushabiki wa kinafiki kati ya simba na yanga,lazima ifikie mahali tuwe wazalendo kwa timu zetu,majuzi roho iliniuma sana kusikia kwenye radio kuwa mashabiki wa simba walikuwa wakiishangilia sana El-melek hadi kidogo iifunge yanga,the same applies to young african fans...jamani tuzipende timu zetu,mimi ni mpenzi sana wa yanga,ila simba siwachukii napenda wanapofanikiwa..asanteni sana nimependa mjadala wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…