Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Napenda sana Bunamwaya wasonge mbele.......Ni vijana na wanacheza soka la kuvutia hasa,la kitabuni.....Wametutoa kamasi kweli Yanga leo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bila wasi wasi..APR wanarudi kwao rwanda kwa ndege moja pamoja na entincelles..! criteria zote za kimataifa wameshindwa.. APR GD-2, BUNAMWAYA GD-3 NA SCORED GOAL IS 5vs7 kwisha habari yao! sasa simba kukutana na bunamwaya
Napenda sana Bunamwaya wasonge mbele.......Ni vijana na wanacheza soka la kuvutia hasa,la kitabuni.....Wametutoa kamasi kweli Yanga leo...
bila wasi wasi..APR wanarudi kwao rwanda kwa ndege moja pamoja na entincelles..! criteria zote za kimataifa wameshindwa.. APR GD-2, BUNAMWAYA GD-3 NA SCORED GOAL IS 5vs7 kwisha habari yao! sasa simba kukutana na bunamwaya
Kweli hiyo red inanionyesha kuwa kocha hanayo kazi zaidi ya kufundisha. fafanua pleaseShukrani ndugu
Ila mi naamini Yanga ni wazuri sana
Kama kocha asipoharibu hii first eleven aliyoanzisha leo, sioni shida ya ubingwa.
Yaani akomae kukaza beki tu.
Kweli hiyo red inanionyesha kuwa kocha hanayo kazi zaidi ya kufundisha. fafanua please
Hivi kama ndo mashabiki wa Simba mnachagua kati ya APR na Bunamwaya FC mngechagua nani??
Heheheheh heheheh
Hivi kama ndo mashabiki wa Simba mnachagua kati ya APR na Bunamwaya FC mngechagua nani??
Heheheheh heheheh
Kaka, sisi hatuogopi timu: Kumbuka Simba ndo timu pekee ambayo haijaconcede goli hata moja kwenye haya mashindano mpaka muda huu ninavyoandika na Simba ndo timu inayoongoza kwa kulitwaa kombe mara nyingi zaidi ya timu zote, kwa hiyo timu yoyote ikija mbele yetu hatuogopi tukifungwa basi ni sehemu ya mchezo, tuliwataka sana St.George ili tuwapunguze mapema tubaki na vibonde wengine tushushie tu kwa raha zetu huku tumekunja nne.
Napenda sana Simba wakutane na Bunamwaya................
Ukiangalia timu zilizocheza na Simba ktk group lake hazifanani hata kidogo na Bunamwaya FC au El Mereikh.
Ukiangalia Simba mechi 3 magoli matatu. Yaani Yanga akikutana na timu yoyote ktk kundi la Simba ujue ameshaingia Semi final
Heheh hehehMtu mliyem-miss sio Okwi, ni Samatta.Tegete watamkataa mashabiki wa Simba maana ndo alikuwa akiwatungua kila mara ligi ya Voda. Ila wajanja nyie, mtamuiba mkiona anapiga mabaoTatizo letu sisi hatuna wafungaji, tunammisi sana Emmanuel Okwi sijui kwa nini walishindwa kumjumuisha kwenye haya mashindano halafu Mgosi naye sijui ndo kaanza kuzeeka, matumaini yetu ni beki na kipa wako imara sana, vipi hamuwezi kutuazima tegete maana nyie hammutumii kabisa.
Ukiondoa mechi hii na ile ya Moro, hakuna nyingine iliyopigwa leo taifa?
Heheh hehehMtu mliyem-miss sio Okwi, ni Samatta.Tegete watamkataa mashabiki wa Simba maana ndo alikuwa akiwatungua kila mara ligi ya Voda. Ila wajanja nyie, mtamuiba mkiona anapiga mabao
So Yanga possible atakutana na Vital'O,Simba na Bunamwaya.El Mereikh naona atakutana na St. Geogre au UlinziThen Red Sea atakipiga pia na Ulinzi au St Geogre.Zimechezwa mechi nne, Morogoro mbili: St.George 7-0 Ports, APR 0-0 Ulinzi; na Dar mbili: Yanga 3-2 Bunamwaya, Elmereikh 3-0 Elmania.
So Yanga possible atakutana na Vital'O,Simba na Bunamwaya.El Mereikh naona atakutana na St. Geogre au UlinziThen Red Sea atakipiga pia na Ulinzi au St Geogre.
Nimeamini Sam Timbe ni mtu wa maajabu wakuu.............
katika hizo comments hapo juu,inaoshesha ni jinsi gani mlivyokomaa katika uchambuzi wa soka,sioni ushabiki wa kinafiki kati ya simba na yanga,lazima ifikie mahali tuwe wazalendo kwa timu zetu,majuzi roho iliniuma sana kusikia kwenye radio kuwa mashabiki wa simba walikuwa wakiishangilia sana El-melek hadi kidogo iifunge yanga,the same applies to young african fans...jamani tuzipende timu zetu,mimi ni mpenzi sana wa yanga,ila simba siwachukii napenda wanapofanikiwa..asanteni sana nimependa mjadala wenu.Hawategemei matokeo ya Morogoro?