simba inabidi ashinde ili amkwepe yanga . La sivyo itakuwa aibu kwa simbq. Maana yanga wamekamilika
Hawapo makiniMpaka sasa hivi sijui kwanini Simba hawapati goli duh!!!!!!!
Na kweli maana Simba wangekuwa kwenye lile kundi la Yanga wasingefurukuta kabisa!!
We unaumwaaa niniiii?????, rohoni mwako unaomba Yanga isikutane na robofainali.Na kweli maana Simba wangekuwa kwenye lile kundi la Yanga wasingefurukuta kabisa!!
Kama red sea inawatoa jasho. Watafurukuta kwa yanga?We unaumwaaa niniiii?????, rohoni mwako unaomba Yanga isikutane na robofainali.
Kama red sea inawatoa jasho. Watafurukuta kwa yanga?