CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Mpaka sasa hivi sijui kwanini Simba hawapati goli duh!!!!!!!
 
Na kweli maana Simba wangekuwa kwenye lile kundi la Yanga wasingefurukuta kabisa!!

Taratibu jamani kila timu ilikuwa na kundi lake, suala la kutuletea kundi la Yanga na kusema Simba wasingepita wewe una uhakika gani?
 
Kpindi cha pili pili
 
Simba kwa hali hii ni bahati tu kufika fainali
 
dk56 Simba0 : Red Sea0
 
simba haina malengo. Ni kama chama cha magamba
Team zote za tz hazina malengo si yanga ,simba wala Azam pia na wachezaji hawana malengo kama TFF haina malengo.kazi ipo kweli kweli kwa soka la bongo
 
Mgosi ametoka nafasi yake imechukuliwa na Boban
 
Back
Top Bottom