Hata mimi nasubiri hilo goli lakini simba butuUmeshasema walam unga hawawezi kuwa makini.tunaomab dua wafunge hata goal ili Ocean view icheze Qrt final
hata mimi naomba tukutane ili tuvuke kirahisi.Mkuu subiri tukutane siku hiyo utaona kama kiungo chenu cha kina Gumbo kitafurukuta kwa Jerry Santo.
Simba wangeweza kuwaokoa majirani wao. Tatizo niwaona simba jana pale corner bar na machanguVital O ndo wamewatoa