CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Umeshasema walam unga hawawezi kuwa makini.tunaomab dua wafunge hata goal ili Ocean view icheze Qrt final
 
Kelvin amepoteza nafasi ya wazi kufunga goal
 
dk77 Simba0 : Red Sea0
 
red sea wamekosa goal la wazi
 
maskini simba goal la wazi tena wamekosa
 
Vital O ndo wamewatoa
 
Mpira wa simba kazi kweli kweli .wanaplay vizuri lakini wafungaji hakuna.kwa soka hilo ni hatari
 
Back
Top Bottom