Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
timu ya simba ya tanzania imetinga nusu fainali ya michuano ya kombe la bagame baada ya kuifunga timu ya bunamwaya ya uganda goli mbili kwa moja. Sasa timu ya simba sasa itakutana na timu ya el mereikh ya sudan.
It can be done........Play your part....
ukweli utabaki pale pale hatuna uzalendo tunashangilia team pinzani za nje yan Usimba na Uyanga nomaaaaaa..!
Kwa hiyo wewe kesho hautashabikia Yanga?.....Mbona mie Yanga leo nimeshabikia Simba?....
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......
timu ya simba ya tanzania imetinga nusu fainali ya michuano ya kombe la bagame baada ya kuifunga timu ya bunamwaya ya uganda goli mbili kwa moja. Sasa timu ya simba sasa itakutana na timu ya el mereikh ya sudan.
Mtani
Mkajiandae kwa penati maana hao El Mereikh wanapiga penati balaa
Hongereni kwa kuruhusu bao na kufuzu semi final, maana nilisema kundi lenu lilikuwa madudu tu
Sasa subili uone Red Sea kesho
Yanga Imara nina waaaminia!
Kesho mie yanga damu itabidi nikae jukwaaa la yangaKwa hiyo wewe kesho hautashabikia Yanga?.....Mbona mie Yanga leo nimeshabikia Simba?....Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......
Yaani utadhani nlikuwa uwanjani, jamaa umetisha.El Merekh wanapata ya 12...Wanenda Nusu fainali
Kwa hiyo wewe kesho hautashabikia Yanga?.....Mbona mie Yanga leo nimeshabikia Simba?....
Hahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.......
Asante mtani, Leo sijaweza kwenda uwanjani sio kwamba nilikuwa nimeogopa, ila majukumu yalibana, kesho nitatia timu lakini sitashangilia timu yoyote kazi yangu itakuwa kuangalia soka na nitawatakia Yanga Ushindi na kwa sababu timu yenu ina wafungaji wazuri obvious mtapita, na kuna uwezekano wa kukutana na St.George ambao wammevua ubingwa APR.
Kesho mie yanga damu itabidi nikae jukwaaa la yanga
Hahahahaha nawajua, ntavaa njano kuonyesha uzalendoIla usije ukajisahau ukavaa shati jekunduWale washabiki wa Yanga wakorofi watakumaliza
ha hahahahah
Mtani onyesha uzalendo bana, shangilia timu ya nchi yako
Ona alivyfanya Balantanda leo
Alikuwa Simba damu damu
Yanga wakitulia kesho watapita hata kwa bao 3 - 0 ila wakizembea wataangukia pua
St Geogre nao kama Yanga, nategemea watapita kwa kishindo pia, wakizembea nao watakiona.
Nategemea Red Sea na Vital'O zitaanza mechi kwa kutumia defensive approach na kushambulia kwa kushtukiza
Zitaanza kwa 4-5-1
Mkuu ushangiliaji wa uwanjani ni tofauti na kwenye tv au jf, usipokuwa makini unaweza kujikuta umerushwa chini, itabidi nikae kimya kwa sababu nitakaa jukwaa la simba, hivyo nikionyesha mahaba kwa Yanga nitajipalia makaa mwenyewe.
Mkuu
Kushangilia sio mpaka uache kiti, shabikia kawaida tu mkuu