CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Yanga wamepooza sana......Wakiongeza pressure kuna magoli mengi sana hapa.....
 
Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 kama sikosei 35 to be specific ilitumika

Ngaamba le baana.......Yanga was established in 1930s but if i am not mistaken it was 1935 (to be specific)....

Aoeleo msongoru!!

Ngakumanya mleu...lakinile, NADHANI na HAKIKA hazikai pamoja!!!
 
Namna gani hapa Yangaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaargh
 
Yanga wamekosa goli la wazi kabisa hapa dakika hii ya 42
 
Sijui ni kwa nini kocha anambania Jerry Tegete.................
 
Yanga wamebanwa namna hiyo.....ina maana hakuna goli mpaka sasa!!
 
Acha zako ww ni Simba damu, huo U taifa staz unaoongelea unataka kutuibia tu, na kama ni kweli ww sio mshabiki wa simba ama yanga basi ww sio Mtanzania (najua zipo timu nyingi na kwa hapa unaweza kuchangia unavyoweza)
 
Yanga wamebanwa namna hiyo.....ina maana hakuna goli mpaka sasa!!

Hawajabanwa wala nini.......Ni wazembe tu,wamepooza sana half hii ya kwanza.....Labda 2nd Half watabadilika
 
Hawajabanwa wala nini.......Ni wazembe tu,wamepooza sana half hii ya kwanza.....Labda 2nd Half watabadilika
Wakuu mnanichekesha kweliHamuoni makontena waliyoyapanga Red Sea golini kwao?? Red Sea wanavuka mstari wa kati kwa nadra mnooooo . . . . .Nadhani mbinu itabadilika second half
 
Kitendo cha Yanga kuzubaa hadi kipindi cha kwanza kuisha bila goli kinatia mashaka wa-tanzania: hatuwezi kusema kwamba Kombe litabaki Tz kama juhudi hakuna. hadi sasa hivi shoot on goal kwa timu zote ni 0-0.
 
Wakuu mnanichekesha kweliHamuoni makontena waliyoyapanga Red Sea golini kwao?? Red Sea wanavuka mstari wa kati kwa nadra mnooooo . . . . .Nadhani mbinu itabadilika second half

Na hiyo ni mbinu waliyoitumia hata siku wamecheza na Simba........Hali hii ya kudefend inasababisha mpira upooze sana.....

Kuna haja kwa kocha kumuingiza Jerry Tegete n kumpumzisha Davies Mwape ili wasaidiane na Hamis Kiiza kuchangamsha mpira pale mbele.....

Otherwise tutaenda kwenye penati bila kupenda....
 
Kipindi cha pili kimeanza sasa....

Hakuna mabadiliko yoyote...
 
Julius Mrope anapasha eti.....

Timbe lazima achemke kwenye sub leo......Sijui kwa nini anaendelea kumuacha Jerry Tegete anasota benchi na kumuingiza Mrope
 
Kweli mkuuRed Sea wanapoozesha mpira ila wanaivizia Yanga. Wasimtoe Mwape ila wamtoe Kigi aingie Asamoah, maana huyu mghana ana advantage ya kumiliki mpira muda mrefu huku akiukokota, Kiiza na Mwape watayabomoa makontena yote.
 
Ona maajabu ya Timbe kwenye substitution sasa

Kamtoa Hamis Kiiza aliyekuwa analeta uhai kwenye safu ya ushambuliaji kamuingiza Kenneth Asamoah na kamtoa Godfrey Taita kamuingiza Julius Mrope......

Tunashambuliwa sasa,tunacheza rafu za kijinga na huyu Asamoah anapoteza tu mipira.......

Tegete kamkosea nini Timbe????
 
Mungu ibariki yanga ili shinde mechi hii na hiyo inayokuja tuje tuwafunge fainali na ma-pro wao fake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…