Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Yanga wanakoswakoswa hapa........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mpaka waonyeshe juhudi!!!Yanga wana njia nyeupe zaidi kwenda finali
Yanga iliyoanzishwa miaka ya 1930 kama sikosei 35 to be specific ilitumika
Ngaamba le baana.......Yanga was established in 1930s but if i am not mistaken it was 1935 (to be specific)....
Aoeleo msongoru!!
Acha zako ww ni Simba damu, huo U taifa staz unaoongelea unataka kutuibia tu, na kama ni kweli ww sio mshabiki wa simba ama yanga basi ww sio Mtanzania (najua zipo timu nyingi na kwa hapa unaweza kuchangia unavyoweza)Hahahaha nimeipenda hii Mentor. so CCM ni synonymous na Wajinga, Mafala, Mashuga!!! so manake yanga ni CCM. Kwa hiyo Yanga ni Majinga, Mafala, Mashuga.......
Mkuu kama ndo hivi, wasubirie wenyewe wakujibu. Thanks God mie Mtanzania lkn sina mapenzi na SImba wala Yanga but Taifa Stars. Labda kwa vile mi mwenyewe mtaalamu wa kukipiga so sina ushabiki na vilabu! Jana nilikaa SImba na nilishangilia sana tuliposhinda. Juzi ile nilikaa Yanga na nilishangilia sana goli la Mwape. Na leo naenda sasa hivi kuona game zote mbili na ntakaa Yanga ili niwe free kushangilia timu ya Tz. Uzalendo huwa haunishindi hata siku moja timu ya Tanzania ichezapo na ya nje ya nchi. na zichezapo SImba na Yanga huwa nakaa kuleee kwenye orange straight katikati ya mstari wa uwanja ili nisiwe upande wowote!
Yanga wamebanwa namna hiyo.....ina maana hakuna goli mpaka sasa!!
Wakuu mnanichekesha kweliHamuoni makontena waliyoyapanga Red Sea golini kwao?? Red Sea wanavuka mstari wa kati kwa nadra mnooooo . . . . .Nadhani mbinu itabadilika second halfHawajabanwa wala nini.......Ni wazembe tu,wamepooza sana half hii ya kwanza.....Labda 2nd Half watabadilika
Wakuu mnanichekesha kweliHamuoni makontena waliyoyapanga Red Sea golini kwao?? Red Sea wanavuka mstari wa kati kwa nadra mnooooo . . . . .Nadhani mbinu itabadilika second half
Kweli mkuuRed Sea wanapoozesha mpira ila wanaivizia Yanga. Wasimtoe Mwape ila wamtoe Kigi aingie Asamoah, maana huyu mghana ana advantage ya kumiliki mpira muda mrefu huku akiukokota, Kiiza na Mwape watayabomoa makontena yote.Na hiyo ni mbinu waliyoitumia hata siku wamecheza na Simba........Hali hii ya kudefend inasababisha mpira upooze sana.....Kuna haja kwa kocha kumuingiza Jerry Tegete n kumpumzisha Davies Mwape ili wasaidiane na Hamis Kiiza kuchangamsha mpira pale mbele.....Otherwise tutaenda kwenye penati bila kupenda....
Ona maajabu ya Timbe kwenye substitution sasaKweli mkuuRed Sea wanapoozesha mpira ila wanaivizia Yanga. Wasimtoe Mwape ila wamtoe Kigi aingie Asamoah, maana huyu mghana ana advantage ya kumiliki mpira muda mrefu huku akiukokota, Kiiza na Mwape watayabomoa makontena yote.