Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Yaani Tegete na tamani angekuwa pale simba, angetupia nyavuni mpaka watu wangemshika uchawi...Ona maajabu ya Timbe kwenye substitution sasa
Kamtoa Hamis Kiiza aliyekuwa analeta uhai kwenye safu ya ushambuliaji kamuingiza Kenneth Asamoah na kamtoa Godfrey Taita kamuingiza Julius Mrope......
Tunashambuliwa sasa,tunacheza rafu za kijinga na huyu Asamoah anapoteza tu mipira.......
Tegete kamkosea nini Timbe????
Ona maajabu ya Timbe kwenye substitution sasa
Kamtoa Hamis Kiiza aliyekuwa analeta uhai kwenye safu ya ushambuliaji kamuingiza Kenneth Asamoah na kamtoa Godfrey Taita kamuingiza Julius Mrope......
Tunashambuliwa sasa,tunacheza rafu za kijinga na huyu Asamoah anapoteza tu mipira.......
Tegete kamkosea nini Timbe????
ina maana mpaka sas jery ajaingia uwi afu utasikia maneno yaoHuyu Mrope sijui ana undugu na Sam Timbe......Kuna haja ya kumtoa Kigi Makassy ama Julius Mrope na kumuingiza Jerry Tegete
Tangu michuano hii sija msikia Tegete...Jamani mwacheni kocha afanye kazi yake..yeye ndio kocha kamwangalia Tegete kasoma na mfumo wa Red Sea akaona hataleta matunda...so let's wait and see! He's the coach here!
watashinda tu hata kama ni kwa penati...je hawa jamaa wa yanga watatoka kweli leo....
Ndiyo mpira wetu watanzania....tuombe mungu washindeyanga leo sijui imekuaje
Jamani mwacheni kocha afanye kazi yake..yeye ndio kocha kamwangalia Tegete kasoma na mfumo wa Red Sea akaona hataleta matunda...so let's wait and see! He's the coach here!
Unaimanaisha watanzania zaidi ya mil 40 ni makocha....hahaha..................Wabongo sasa kila mtu kocha? yeye si anapanga kutokana na mtu anavyojituma mazoezini na formation anayotaka timu icheze
ina maana mpaka sas jery ajaingia uwi afu utasikia maneno yao