Mkuu, usikate tamaa...kama golini yuko yule mghana hata mkienda kwenye matuta naweza kufanya mambo.....Tukienda kwenye penati tunatolewa
mkuu mpira 90mins na sio story...Eh! Huwezi kuamini hawa jamaa walivyotukomalia!
hapa Yanga ndipo huwa inachemsha sijui huwa wanatumia vigezo gani kusajiri wachezaji wa kimataifa...labda kwa kiiza ndiyo naona wamelamba dumeHuyo Mwape hata kucontrol mpira anashindwa
achana na dakika maana inaumiza...ngoja tuone msimu ujao kwetu sisi azam itakuwa kama simba au yanga maana naisi hadi kufa kwa kihoro..
Vp muda bado ngapi
achana na dakika maana inaumiza...
pole sana mkuu naona kama zile ndoto za yanga na simba zimeyeyuka..Dakika ya 83Yanga 0:0 Red SeaYanga wameboa sana leo....
Watashinda kwenye matuta.....aminia!!pole sana mkuu naona kama zile ndoto za yanga na simba zimeyeyuka..
Ndio hivyo mkuu...Eh! Huwezi kuamini hawa jamaa walivyotukomalia!
Nini tena hapo..............Gumbooooooooooooooooo
aaaaaaaaaaaaaaaah
Kwa kweli.................Presha nyingine zakujitakia jamani.........
Mkuu jina lako ni Chitanda au BalatandaGumbooooooooooooooooo
aaaaaaaaaaaaaaaah
Watashinda kwenye matuta.....aminia!!