CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Eh! Huwezi kuamini hawa jamaa walivyotukomalia!
 
ngoja tuone msimu ujao kwetu sisi azam itakuwa kama simba au yanga maana naisi hadi kufa kwa kihoro..
Vp muda bado ngapi
 
Dakika ya 83

Yanga 0:0 Red Sea

Yanga wameboa sana leo....
 
Yanga bana...........

Wanakosa goli la wazi kabisa.....

Kwa mwenendo huu........Hatuna haja ya kuwa na mapro.......Ni bora tubaki na akina Tegete na Idd Mbaga basi
 
Eh! Huwezi kuamini hawa jamaa walivyotukomalia!
Ndio hivyo mkuu...

Hata game na Simba ilikuwa hivi hivi....

Dakika ya 90 sasa...

Yanga 0:0 Red Sea

Asamoah anakosa goli la wazi kabisa hapa...

3 Added minutes
 
Dakika ya 93

Yanga 0:0 Red Sea

Mpira umekwisha tunaenda kwenye matuta sasa
 
Watashinda kwenye matuta.....aminia!!

Matuta hayana utabiri mkuu.....Lolote laweza tokea....

Yanga tumeyataka wenyewe..........Kutolewa ni haki yetu(sorry to say this)....

Sam Timbe kwa vyovyote vile anawajibika kwa matokeo haya......Yes I said it
 
Back
Top Bottom