CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Jamani tunaomba First 11....Mhe. Balantanda na wengie fanyeni mambo....natanguliza shukrani
 
Watani zangu wa Simba mpo?......Mbona kimyaa

Ama mnasubiri mpaka mechi iishe nini.....Acheni uoga bana
 
Simba kwa uoga . . .
Katavi, Crashwise, Ivuga njooni bana
Jiaminini jamani
hahahahahah haha aha haha ha
 
Juma Nyoso ni beki mzuri sana......Katulia sana huyu tofauti na Kelvin Yondan

El-Mereikh wamepunguza ile kasi yao ya dakika 20 za mwanzo.....Ila Simba bado anatakiwa kuwa makini....
 
Jamani tunaomba First 11....Mhe. Balantanda na wengie fanyeni mambo....natanguliza shukrani

Kikosi cha Simba uwanjani ni;

1. Juma Kaseja
2. Said Nassor 'Cholo'
3. Amir Maftah
4. Kelvin Yondan
5. Juma Nyoso
6. Jerry Santo
7. Shija Nkina
8. Patrick Mafisango
9. Haruna Moshi 'Boban'
10. Mussa Hassan 'Mgosi'
11. Ulimboka Mwakingwe
 
Simba kwa uoga . . .
Katavi, Crashwise, Ivuga njooni bana
Jiaminini jamani
hahahahahah haha aha haha ha

Jamaa waoga kweli aisee

Dakika ya 45 sasa

El-Mereikh 1:1 Simba

Kaseja kaumia anapatiwa,matibabu sasa...

Dakika moja ya nyogeza(AET)
 
Half Time

El-Mereikh 1:1 Simba

Hope Simba watabadilika 2nd Half
 
Kaseja kapewa kadi ya njano sekunde chache kabla ya kipyenga cha half time Na mpira ni mapumziko Simba 1 - 1 El Mereikh
 
kipindi cha kwanza kimetawaliwa na presha: si Simba wala El-melekh aliyeonyesha mpira wake wa asili, ila nahisi tutalajie kuona mabadiliko kipindi cha pili.
 
Nawatafuta watani zangu Saint Ivuga,Invisible na Masuke......

Njooni tuujadili mchezo bana.....Msiogope
 
Simba sio waoga wengi wako uwanjani hawawezi kupost, mimi mwenyewe nimesubiri half time.
 
Mmmmh
Kaseja hana raha
Jamaa wanapasiana balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…