CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Naona Simba wanacheza kama walivyokuwa wanacheza Red Sea jana
 
Oooh karibu penalt time,tuwapime hawa magolikipa tujue nani zaidi.maana mmoja ni wa bei kubwa mwingine ni mahiri sana golini. Leo tutajua tuu!
 
Dk ya 42 kipindi cha pili, bado ni 1 - 1
 
Leo uwanja haujajaa kama jana, sijui ni kwa nini!
 
Dakika ya 90 sasa

El-Mereikh 1:1 Simba

Leo baada ya dakika 90 tunaenda extra time.......Dakika 30
 
Dakika 2 zimeongezwa na kipa wa el mereikh kaumia pale...
 
Hivi kwa namna walivyochoka hivi wataweza hizo dakika 30 za nyongeza?
 
Mpiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiira umekwisha
 
Dakika 90 zimemalizika.....tusubiri dakika 30 za nyongeza.
 
Back
Top Bottom