CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Jamaa wametuzidi lakini mpira anything can happen, Mungu kaa nasi mashabiki wa Simba pamoja na wachezaji wetu tuibuke kidedea.
 
Mpira umeanza...

Kila la heri Simba.....Watanzania tuko nyuma yenu
 
Dah..................

Simba wanakosa goli hapa...

Pasi nzuri Boban na good shooting kwa Machaku.....
 
Huyu Daktari wa Simba si muungwana kabisa......

Kamsukuma El-Hadry kisa anamsadia mchezaji wa Simba baada ya ksuhikwa msuli
 
Hahahahahah
Kipa wa El Mereikh alikuwa anamnyoosha miguu mchezaji wa Simba aliyekuwa ameteguka, Amir Maftah ana zawadiwa kadi ya njano
 
Kadi ya njano tena kwa Jerry Santo . . . .
 
Maftah anapoteza mipira kijinga sana huyu.....

Good Job kwa Nyoso

Kona kuelekea lango la Simba.............Inaokolewa
 
El-Mereikh bado wana mpira.....

Pigaaaaaaaaaaaaa......................Kaseja anadaka
 
Wachezaji wa Simba wamechoka aiseeeee . . . . .
 
Dah..........Kweli Simba wamechoka......Wanapoteana na wanapoteza mipira kizembe...

Offside langoni mwa Simba....................Hali si nzuri
 
Kadi ya njano kwa mchezaji wa El Mereikh . . . .
 
Tuombe Mungu twende kwenye Penati.....Hope Kaseja atatutoa kimasomaso watanzania
 
Back
Top Bottom