CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania


Swadakta Mtangazaji mkuu
Wadau wanakupata kisawa sawa
Mpaka kesho tena wadau
Alamsiki . . . .
 
Asante Batalanda! Hiyo penati ya mwisho ilkuwaje? Kaseja kaicheza au jamaa kapiga nje?
kASEJA KAIC HEZA penati laini ya mwisho jamaa alijua ataruka kushoto yeye akapiga kulia na JKJ akaenda pande hizo akakutana nayo..hakuna mbeleko!!
 
Tatizo ile mbeleko ingekuwa imetumika kwa Yanga ingekuwa Balaa, hivi kweli penalt dakika ile mngetoka, by the way hongereni sana! Punguzeni unazi.
 
Tuombe Uzima kiongozi kesho tuwe pamoja tena studio.
 
Hongera munyama! Wapwa twawasubiri final msitukimbie tena twafwadhwali!
 
Kesho kwa sababu za kimajukumu naweza nisiwepo kimatangazo, ila Mtangazaji Mkuu Balantanda anaweza kuwaletea mambo bila mizengwe.
Mida ya kuanza mechi naweza nikawa ktk pilika pilika za kusafiri barabarani, ila nitaifuatilia mechi bila zengwe.
Nitarudi hapa baada ya mechi, bila kujali matokeo ya mechi
 
Yamepita hayo, sasa ni YANGA kesho......
Kabla mpira haujaanza tulikuwa tunapata kashfa sana kuhusu jana, yani kwa simba yalikuwa hayajaisha tu! Kesho ni balaa, yaani kama tutafungwa kwa Simba itakuwa ni safi zaidi kuliko wao kulibeba hilo kombe, Adui mwombee njaa lakini kwa simba ni too much!
 
Sure.....president wa nini? JF REDIO??

Nadhani ni mbwembwe zake tu
Kafurahi mpaka anagawa Urais

Kwa Yanga naamini mechi ngumu zaidi kwao itakuwa ni kesho, wakifanikiwa kuvuka baaaaaaaaaaaasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…