Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
vipi tena mkuu!!puuumbav...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi tena mkuu!!puuumbav...
Asante sana.....
Kwa niaba ya watangazaji wenzangu CPU,PrN Kazi na Crashwise.....Bila kumsahau msimamizi wa matangazo haya MTM na fundi mitambo wtu Invisible,mimi ni mtangazaji wenu Bala,nawarudisha moja kwa moja studio namba tatu ya JF......Tukunane tena kesho saa 9:30 jioni katika pambano la Yanga na St. George........
Wasalaam....
Bala
bala my cousin is always hereSimba wamevukaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Hakika Mkuu, there is no one like him!'There is only one KASEJA'I like this one
Mkuu asante sana, Tumeshinda bila kutegemea mbeleko. Vipi hayakuumi hayo Ma*****?
kASEJA KAIC HEZA penati laini ya mwisho jamaa alijua ataruka kushoto yeye akapiga kulia na JKJ akaenda pande hizo akakutana nayo..hakuna mbeleko!!Asante Batalanda! Hiyo penati ya mwisho ilkuwaje? Kaseja kaicheza au jamaa kapiga nje?
vipi tena mkuu!!
Tatizo ile mbeleko ingekuwa imetumika kwa Yanga ingekuwa Balaa, hivi kweli penalt dakika ile mngetoka, by the way hongereni sana! Punguzeni unazi.
Kaseja kaicheza.Asante Batalanda! Hiyo penati ya mwisho ilkuwaje? Kaseja kaicheza au jamaa kapiga nje?
nadhani umeshatuona.Turudi kwenye mechi ya leo tuwaone na nyie, si mnajifanya wajanja, tutaona leo
Tuombe Uzima kiongozi kesho tuwe pamoja tena studio.Asante sana.....Kwa niaba ya watangazaji wenzangu CPU,PrN Kazi na Crashwise.....Bila kumsahau msimamizi wa matangazo haya MTM na fundi mitambo wetu Invisible,mimi ni mtangazaji wenu Bala,nawarudisha moja kwa moja studio namba tatu ya JF......Tukunane tena kesho saa 9:30 jioni katika pambano la Yanga na St. George........Wasalaam....Bala
Sure.....president wa nini? JF REDIO??Balantanda for President....na watangazaji wengine wote wapate u-waziri...
Asante Mkuu!kASEJA KAIC HEZA penati laini ya mwisho jamaa alijua ataruka kushoto yeye akapiga kulia na JKJ akaenda pande hizo akakutana nayo..hakuna mbeleko!!
Kabla mpira haujaanza tulikuwa tunapata kashfa sana kuhusu jana, yani kwa simba yalikuwa hayajaisha tu! Kesho ni balaa, yaani kama tutafungwa kwa Simba itakuwa ni safi zaidi kuliko wao kulibeba hilo kombe, Adui mwombee njaa lakini kwa simba ni too much!Yamepita hayo, sasa ni YANGA kesho......
ninawasiwasi na uraia wakopuuumbav...
Sure.....president wa nini? JF REDIO??