CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Jamani natamani kutoroka kwenye kikao, ukiwa na cheo shida, ukiwa hauna shida! cjui nifanyeje. vp mapumziko au bado?
 
aaah bosiiiiiiiiiiiiiiii, kweli muhaya yake sifa
 
St. George wanakosa umakini tu kule mbele kutumbukiza goli na Yanga wanasumbuliwa na presha kutokana na kwamba Mnyama ameisha watangulia fainali; Tegete kwenye first half sikuona makeke yake, labda tumsubiri kipindi cha pili.
 
Kipindi cha pili kimeanza!

Yanga wanaingiza mpira golini kupitia nyavu ndogo!
 
Haya wakuu vipi...Mhe Balatanda na viongozi wengine waandamizi nimewasili....natangulizi shukrani!!
 
Nimaajabu, mpira umepigwa kutoka pembeni mwa uwanja na winga wa Yanga ghafla mpira ukakutwa ndani ya nyavu, kumbe nyavu zina tundu pembeni bwana, tundo ambalo imelazimika kuliziba kwa Kamba za katani.

Wapenzi hatujui hilo tundu nani kaliweka: au ni ndo uchakachuaji huo!?.
 
Yanga wamefufuka, wanapeleka mashambulizi makali na Tegete ameanza kuonekana sasa
 
Yanga wamefanya shambulizi saaafi sana (dk10) - imeishia kuwa kona - Kona imeishia kwenye open play

0 - 0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…