CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Yanga wanaonyesha uhai, huenda wakapata goli..
 
Kadi ya njano kwa Prince Godwin. Mambo magumu kwa st. George!
 
Ukweli Simba wanajua Yanga akishinda leo, basi Jumapili wanamtimua Msomali, maa watake wasitake wanak......wa tu,
 
Yanga wangecheza hivi tangu mapema wangekuwa weshapata goli. Blanketi asubuhi!
 
Haya 120 hiyo. Hakika Yanga wanahitaji kucheza jihad kama hizi dakika za mwisho. Mungu wabariki Yanga. Ninawatamani hao
 
Yanga katika dakika hizi 30 wakicheza kama walivyocheza dakika 10 za mwisho, watapata ushindi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…