CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

wakuu, naona Timbe leo aliamua kumfurahisha Batalanda maana alilia saana kwa nini Tegete hapangwi sasa ameona kwa nini alikuwa anawekwa benchi. Naona hii aibu ndo imemfanya akimbie hapa leo.
 
Muliopo uwanjani Yanga wanatumia fomesheni ipi kati ya 4-4-2 au 4-3-3 ?
 
Dakika 15 zimemalizika, timu zinabadishina magoli, st george wanaanza hapa!
 
Katavi
Batalanda hawezi onekana, unajua wewe unaangalia mpira wa kwenye TV tayari unakuwa unajifanya unawajua wachezaji kuliko anayewafundisha? waswahili bhana? matokeo yake Jery mzuri saana sasa kimekuwa nini???
 
Yanga wanakosa goli la wazi hapa Gumbo kababaika pale...
 
KataviBatalanda hawezi onekana, unajua wewe unaangalia mpira wa kwenye TV tayari unakuwa unajifanya unawajua wachezaji kuliko anayewafundisha? waswahili bhana? matokeo yake Jery mzuri saana sasa kimekuwa nini???
Jamaa atakuwa amepandwa na presha!
 
Bola apate presha tu asije jaribu kupumua kwa haraka akajikuta anahalisha ha ha ha ha
 
yanga wanacheza vizuri japo umaliziaji sio mzuri, dakika ya 112!
 
Mwape sijui vipi, Oscar Joshua kapewa kadi ya njano...faulo kuelekea lango la yanga!
 
Chupuchupu beki wa st Geoge ajifunge...yanga bado wanashambulia!
 
Back
Top Bottom