saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Rashid Gumbo ndani, Tegete nje..... Mwape vipi mbona haonyeshi makeke yoyote na hatolewi?
Mwape kabeba mikoba ya timu leo......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rashid Gumbo ndani, Tegete nje..... Mwape vipi mbona haonyeshi makeke yoyote na hatolewi?
sijui atasaidia!Tegete OUT Gumbo IN dk ya 102
Bega linamsumbuaNaomba uchambuzi wa uwezo wa KIPA wa YANGA katika PENALTI
Hakuna kipa pale linapokuja suala la penati..Naomba uchambuzi wa uwezo wa KIPA wa YANGA katika PENALTI
vp inaonekana anapreshapresha...Balantanda upo wapi?
Jamaa atakuwa amepandwa na presha!KataviBatalanda hawezi onekana, unajua wewe unaangalia mpira wa kwenye TV tayari unakuwa unajifanya unawajua wachezaji kuliko anayewafundisha? waswahili bhana? matokeo yake Jery mzuri saana sasa kimekuwa nini???