CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Ni mikwaju ya penati tu hapa! Mpira umekwisha....
 
Ndoto za kukutana watani zinafifia sana. MUNGU saidia yanga
 
Hawa St. George inaonekana ni wazuri katika upigaji wa penati, tusubiri tuone!!
 
Tatizo simba nao watakuwa wanachangia kudidimiza juhudi zetu za kuingia fainali hahahahahahah(Just a joke)
 
Yanga wanaanza kupiga... Shadrak nsajigwa....kakosaaa...
 
Yanga nje! Huyu kipa ni soo.....st george wanapata penati yao....Cannavaro anafunga bonge la goli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…