Naona upendeleo wa wazi kwa timu zetu.
Nadhani ni mpango mahsusi wa waandaaji na TFF ili kombe libaki nchini.
Kwa namna hii ya uongozi wa soka, tutakuwa tukiporomoka kwenye jedwali la FIFA kila kukicha.
TUBADILIKE
KOMBE la CECAFA...litabakia TANZANIA........wapi haswa JANGWANI au MSIMBAZI ndo SWALI????
Tuelekeze mjadala wetu sasa hapo...
CPU Yanga mnatisha mnafunga tokea nje ya uwanja halafu refa anakataa goli hajui kama ni ubunifu, msivunjike moyo, nasikia hata goli la kwanza la tiktak lilikataliwa ya kwamba huwezi kufunga goli huku lango liko nyuma yako, jaribuni ubunifu huo fainali linaweza kukubaliwa, si unaona sahivi magoli ya tiktak yanakubaliwa, kingine nyie mna hati miliki namna ya penati zinavyopigwa, mkianzisha kitu timu pinzani wakijaribu kuwakopy inakula kwao.Yaani mi nawashangaa sana Simba
Yaani nyie mliwataka St Geogre fainali, baada ya kuwakosa mnaanza ulalamishi
Daaaah, oooh CECAFA mapato, TFF wamepanga matokeo . . . . yaani hamtulii mkaongea ukweli
Bao la Yanga limekataliwa, na bado mnadai Yanga kabebwa, hebu semeni kabebwa wapi leo?
CPU Yanga mnatisha mnafunga tokea nje ya uwanja halafu refa anakataa goli hajui kama ni ubunifu, msivunjike moyo, nasikia hata goli la kwanza la tiktak lilikataliwa ya kwamba huwezi kufunga goli huku lango liko nyuma yako, jaribuni ubunifu huo fainali linaweza kukubaliwa, si unaona sahivi magoli ya tiktak yanakubaliwa, kingine nyie mna hati miliki namna ya penati zinavyopigwa, mkianzisha kitu timu pinzani wakijaribu kuwakopy inakula kwao.
Mkuu
Mi nataka hawa baadhi ya mashabiki wa Simba waeleze jamii vizuri walipobebwa Yanga leo
Maana wamekomaa tu "Oooh CECAFA na TFF wameangalia mapato" . . . . yaani siwaelewi kabisa.
Kelele zao wanapiga mpaka BBC, eti CECAFA wameiingiza Yanga fainali . . .. hahahahah
Sasa sijui CECAFA ndo walikuwa wanapiga penati leo??
Kwahiyo Huu ndio ushahidi wako MAKINI KABISA kwamba Yanga wamebebwa leo??
aSALAMALEKU WALLAHIIIII . . . . . .
Penati ya mwisho ya St.George ilikuwa copy ya ile ya Nadir Haroub, hapo ndo watu wanasema haki haijatendeka, lakini kwa ujumla Yanga imecheza vizuri na mhimu zaidi dola elfu hamsini zinabaki Tanzania.
teh teh teh!Napita..nitarudi mkiacha kuhisi na kutoa maoni yenu,nami nichangie
Hayo maswali refa ndo anaweza kuyajibu maana yeye ndo mwamzi wa mwisho, mimi mwenyewe nilipenda sana Yanga wapite na ndo kilichotokea lakini hatuwezi kuacha kusema matukio mengine yaliyotokea uwanjani, jpili Yanga mkishinda nitawapongeza na sisi tukishinda mtupongeze lakini iwe ni kwa haki.Sasa mkuu
Ilikuwaje ya Canavaro ikawa goli na ya St Geogre ikawa sio goli??
Refa aliidaka ya St Geogre au ya Canavaro ilitoka wakasema imeingia??
Yah, sure.
$50,000 zipo bongo sasa
Yanga imetinga fainali kwa kubebwa tena,leo ikiwa mbele ya st.george kwa penati.Yanga imebebwa tena kutokana na mechi ya robo fainali kubebwa kwa kupewa nafasi ya kupiga penati marambili baada ya kukosa ile ya kwanza. Leo ikawa kituko ambapo penati ya Nadir iligonga mwamba na kugonga chini kisha ikatoka nje ambapo ilikubaliwa na refa lakini ikajitokeza pia kadhia hiyohiyo kwa upande wa st.george na refa akakataa na kuwapa wazee wa mbeleko ushindi. Marefa waliochezesha mechi za robo na nusu fainali zinazowahusu yeboyebo walisindikizwa na wazee wa kombati. Watani ngojeni kichapo kutoka kwa Simba Jpili labda mbebwe kama kawaida yenu.
Naona upendeleo wa wazi kwa timu zetu.
Nadhani ni mpango mahsusi wa waandaaji na TFF ili kombe libaki nchini.
Kwa namna hii ya uongozi wa soka, tutakuwa tukiporomoka kwenye jedwali la FIFA kila kukicha.
TUBADILIKE
Wazee wa Mbeleko bwanaa yaani najua leo itakuwa furaha kwa huyu katibu wa cecafa mana malengo yao yametimia ...Wanategemea kuujaza uwanja ule.Mnyama ataitafuna kandambili hiyo cku ya Jumapili......Mbeleko juu juu!!
Habari zenu wakuu. Nlitamani sana kuchangia mjadala lakini mtandao ulikuwa unaniambia sija-login (japo nilikuwa nina-login). Ikiwa suala la kusema Yanga imebebwa ni jambo tu la utani wa mpira, basi sina tatizo, lakini mie niko mbali na Tz hivyo niliangalia mechi zote kupitia Supersport. Supersport wamerudi kuonyesha penalti zote mbili kawaida na kwa mwendo wa pole (siyo wa gwaride lakini). Penalt ya Cannavaro baada ya kugonga mwamba ilitua ndani ya mstari (yaani golini) na kwa sehemu aliyokaa refa ni wazi aliiona vizuri. Penalt ya mwisho ya St George baada ya kugonga mwamba ilitua nje ya mstari, upande wa uwanja (yaani haikuingia). Suala la kubebwa kwenye zile penalt halipo tofauti na refa aliyekataa goli halali la Uingereza walipocheza na Ujerumani kwenye kombe la dunia.
Your comment is baseless brother; Timbe to lift the Cecafa cup with 3different team is not an issue, that is simple history you know on him, what about Bassena!!!!; we need pitch performance to determine the winner.kweli wanasimba mna mizengwe! kwasasa mnawila wila kiboya baada ya kuona yanga wametinga fainali! simba imekula kwenu, ndo mtamjua sam timbe ndo nani, ameshachukua kombe hili mara 3 na timu tofauti. na j2 analichukua kwa mara ya 4 akiwa na yanga. mbona simba litawashuka iyo j2! yanga daima mbele nyuma mwiko. yanga oyeee
Yanga wamepita......wamebebwa!
Hahahah YANGA HOYEEEEEEEEEEEEEEE, YANGA HOYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, eti Simba Mchumba tuuuuuu hahahahahahahaahah