Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
Naona upendeleo wa wazi kwa timu zetu.
Nadhani ni mpango mahsusi wa waandaaji na TFF ili kombe libaki nchini.
Kwa namna hii ya uongozi wa soka, tutakuwa tukiporomoka kwenye jedwali la FIFA kila kukicha.
TUBADILIKE
Napita..nitarudi mkiacha kuhisi na kutoa maoni yenu,nami nichangie