Tabia za panya. Kuuma na kupulizaPenati ya mwisho ya St.George ilikuwa copy ya ile ya Nadir Haroub, hapo ndo watu wanasema haki haijatendeka, lakini kwa ujumla Yanga imecheza vizuri na mhimu zaidi dola elfu hamsini zinabaki Tanzania.
CECAFA wako kimaslahi zaidi, j'pili macho yao yote yapo kwenye mapato. Na ndio maana kuna maamuzi mengine ya waamuzi yanachanganya!
Yaani mi nawashangaa sana Simba
Yaani nyie mliwataka St Geogre fainali, baada ya kuwakosa mnaanza ulalamishi
Daaaah, oooh CECAFA mapato, TFF wamepanga matokeo . . . . yaani hamtulii mkaongea ukweli
Bao la Yanga limekataliwa, na bado mnadai Yanga kabebwa, hebu semeni kabebwa wapi leo?
watu wengine humu me nahc ni std7 failure mmewekwa na wajomba zenu huko ofcn mnapost pumba kwenye forums za great thinkerz,sa kama una uhakika yanga itashinda umeuliza qn gan kwenye title ya post yako?Nilivyofuatilia hii michezo ya kombe la Mzee wa genocide, nina kila sababu ya kuamini kuwa Kombe hili linabaki YANGA. Timu hii imeonesha umahiri na ubora wa hali ya juu, mfumo ulio endelevu na uliojaa umakini na nidhamu ya hali ya juu. Tutegemee goli mbili kwa moja siku ya fainali.
Hivi kweli ile penalt ya st.george waliokosa na ile ya yanga zinatofauti? Ndo mana kagame ikichezewa nje timu zetu zinashindwa.