CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Kikosi bora cha wiki-Kagame cup (Dar)
1. Juma Kaseja-Simba
2. Amir Maftah-Simba
3.Said Nassor Cholo-Simba
4.Ismail-Ocean view
5.Obina-Ocean view
6.Mrope- Yanga
7. Gumbo-Yanga
8. Boban- Simba
9.Mwape-Yanga
10.Kiiza- Yanga
11.China-Ocean view

Kocha bora- Abbas wa Ocean view
Source: Mwanaspoti, Julai 2, 2011
 
Kundi C
St. George 6 Ports 0 (second half)
 
Final whistle is blown here...
The score is 7 nil in favour of St. George.
 
Banamwanya wanacheza mpira wa kuvutia kwakweli; Yanga inabidi wakaze buti vinginevyo itakuwa balaa
 
Goli limefungwa dakika ya 27.....

Kwa Hamis Kiiza Yanga wamelamba dume,dogo yuko safi ile mbaya.....
 
Goooooooooooooooooooooooooooooooooooal...

Yanga 2 Bunamwaya 0

Rashid Gumbo
 
Bunamwanya ni wazuri, Yanga inabidi wakaze.....Gooool, Rashid Gumbo anawaandikia Yanga goli la pili.
 
mpira ni mapumziko yanga wanaongoza kwa magoli mawili
 
Back
Top Bottom