CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Wacha wafungwe tu hao hawana issue,bongo mpira unachezwa mdomoni hahahahaaaaaa
 
Yaani anapunguza mabeki anaongeza washambuliaji

Jamani mimi niliwakaribisha nilidhani mnapenda kukaa na sisi kumbe hamtaki, lakini sisi ni watu wema jitahidini bwana tushirikiane kombe libaki Tanzania, tukiwa wawili nguvu inaongezeka.
 
Anaweza kuingia kama best loser kutegemeana na matokeo ya morogoro
 
Waungwana hivi huyu mashambuliaji mghana wamo kweli? au wamechukua jina tu? maana namuona dogo Kiiza ni kama wamo zaidi
 
Kwa matokeo ya huko Moro Yanga anaweza kupita...
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooal

Mwapeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Bao kali la yanga kwake MWAPE kaokoa jahazi kweli.
 
Hongereni wanajangwani karibuni rasmi sasa robo fainali.
 
What a fantastic goal by Davies Mwape...............

Dah....................................bonge la goli...............

Mpira umekwisha...........Yanga are thruogh to QF
 
What a goal from mwape. Absolutely sensational
 
Back
Top Bottom