CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Red Sea wanagomea upande wa goli lililochaguliwa na Refa..................Makubwa haya sasa
 
Watani hali ngumu hapa uwanjani, Yanga waliidharau hii timu hawakujua kama Eritria ilimeguka toka Ethiopia ambao kaka zao ni St.George.
 
Haya haya tunakwenda kwenye matuta Kandambili kashikwa pabaya leo
 
Wamekubali sasa...............Wanaanza kupiga Yanga

Nsajigwa naye anagomea goli................Hiki ni kiroja sasa
 
mpaka sasa ndio yanga wanapiga penati,nadhani yanga itatolewa kwa matuta
 
Wancheza tuu na saikolojia ya akina Chacha Marwa ambayo imeshaathirika na draw hiii
 
Berko anaenda golini..............Wanaanza Red Sea

Anapigaaaaaaaaa

Kakosaaaaaaaaaaaaaaaaaa...............Unagonga mwamba
 
Wanakosa penati yaa kwanza hapa hawa bahari nyekundu..tuone nsajigwa
 
Yanga wanapiga sasa...

Nsajigwa anapiga......

Goooooooooooooooooooooooooal
 
Wanapiga Red Sea sasa......Berko golini

Anapigaaaa

Goooooooooooooooooooooooal
 
Anapiga Rashid Gumbo sasa...

Anapigaaa

Kakosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..................Refa anasema irudiwe.....Kipa alicheza

Anarudia.....Goooooooooooooooooooooooooooal
 
Wanapiga Red Sea sasa......Berko golini

Anapigaaaa

Goooooooooooooooooooooooal

Yanga 2 Red Sea 2
 
Yanga wanapiga penati ya 4 sasa

Anapiga Kigi Makassy sasa...

Anapigaaa

Kakosaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...

Yanga 2 Red Sea 2
 
Back
Top Bottom