CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Hongereni watani kwa kuingia nusu fainali japo refa kawabeba.
 
Hawa cecafa wanaleta mambo ya kijinga sasa, mambo ya kubebana kabisa haya!
 
Kwa mchezo huu St.George watatufunga magoli mengi sana....

Huenda rewfa akawa huytu huyu na akatumia mbeleko ile ile ama akaiboresha zaidi!!

Lakini kama refa kawabeba yanga kwenye penalt kwanini hakumaliza udhia ndani ya dk.90??
 
Hongera yenu.....nasikia leo Yanga walikuwa 12 (na REFA)

Nimeangalia Replay ya penati zote mbili walizorudia Yanga......Nimekubaliana na maamuzi ya Refa.......

Ni kweli kipa alitoka mapema(alivuka msitari) kabla ya refa kuruhusu penati ipigwe.....

Timbe inabidi ajifunze kwa mechi hii ya leo.....
 
Wacheni unazi ha WC kama kipa akicheza mpira haujapigwa penati hurudiwa
 
Ya leo yameisha.......

Tuanze kujadili game ya kesho sasa ya Simba na El-Mereikh sasa..............
 
Hawa cecafa wanaleta mambo ya kijinga sasa, mambo ya kubebana kabisa haya!

Gate collection kamanda, we huoni yanga ilivyokuwa na washabiki nyomi la kufa mtu, halafun wanajaa uwanjani

mechi zao zote mapato yako juu kuliko mechi za simba, hii ni biashara lazima cecafa wapate faida.

Tenga ni mchaga na pesa ndo ndugu yake, musoinye naye nasikia ni mchaga wa kenya pesa ni ndugu yake pia!!
 
Huenda rewfa akawa huytu huyu na akatumia mbeleko ile ile ama akaiboresha zaidi!!

Lakini kama refa kawabeba yanga kwenye penalt kwanini hakumaliza udhia ndani ya dk.90??

Hawa Red Sea wana aina fulani ya mchezo wa kupooza.....Hivyo kuwaambukiza timu pinzani......Hata game ya Simba ilikuwa hivi hivi....
 
Sio fair kabisa, hivi huyu refa wa wapi?
 
Back
Top Bottom