saitama_kein
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 981
- 99
Ya leo yameisha.......
Tuanze kujadili game ya kesho sasa ya Simba na El-Mereikh sasa..............
Tunaomba uzalendo wenu hiyo kesho.................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya leo yameisha.......
Tuanze kujadili game ya kesho sasa ya Simba na El-Mereikh sasa..............
Kwa mtindo huu basi Yanga na Simba huenda zitabebwa hadi fainali...Gate collection kamanda, we huoni yanga ilivyokuwa na washabiki nyomi la kufa mtu, halafun wanajaa uwanjanimechi zao zote mapato yako juu kuliko mechi za simba, hii ni biashara lazima cecafa wapate faida.Tenga ni mchaga na pesa ndo ndugu yake, musoinye naye nasikia ni mchaga wa kenya pesa ni ndugu yake pia!!
mkuu nimeboreka sana, sijui tukoje
Kwa mtindo huu basi Yanga na Simba huenda zitabebwa hadi fainali...
Nakubaliana nawe lakini siamini kama TIMBE ni kocha wa ajabu!! Labda usema CECAFA ni ya ajabu......Ha ha haaaaaa iwe mbeleko ya bati au chuma, tumeshinda leo halafu refa ni Mkenya si Mtanzania kipa anatoka golini mnategemea nini? Ile aliyookoa alitoka sasa Refa ili kubalance akatumia hii ambayo hakutoka Good refariii! Thank you Timbe ni kocha wa ajabu. Hivyo hivyo mpaka kombe linabaki!
mkuu nimeboreka sana, sijui tukoje
Tunaomba uzalendo wenu hiyo kesho.................
usisahau pia kwamba mnyama alikiona cha mtema kuni kwa Red sea, lakini leo yanga wamekuja kidedea dhidi ya haohao Red c, Yanga hoyeeeeeeee!Berko, Nurdin hoyeeee!Pooa ila wametutia mshawasha sana leoo Yanga hawa
Wacheni unazi ha WC kama kipa akicheza mpira haujapigwa penati hurudiwa
Nilisema mi jana nikaambia ' play your part'kwa yanga na simba hakuna kitu kinaitwa uzalendo, labda Mungu afanye miujiza vinginevyo stori ni zile zileutawasikia tu baada ya muda mfupoi wanalipuka "uzalendo umetushinda"
Tatizo ni mfumo anaoutumia Sam TIMBE,hauruhusu mashambulizi......Anachezesha mabeki wawili wa kulia(Shadrack Nsajigwa na Godfrey Taita) kwa lengo la kuwachanganya wapinzani wake badala yake anaichanganya timu yake na kudhoofisha mashambulizi....
Pia anawatumia wachezaji wageni zaidi aliowasajili kwa ajili ya msimu ujao na kuwaacha wa zamani benchi,wachezaji hawa wageni bado hawajaelewana.......Na hili ni kosa ambalo hata Basena wa Simba alikuwa akilifanya kabla ya kubadilisha timu mechi ya jana na Bunamwaya...
Hakuna umuhimu wowote wa kuwaweka benchi wachezaji kama Jerry Tegete,Godfrey Bonny na wengine na kuwachezesha wachezaji kama Keneth Asamoah na Julius Mrope ambao ndi kwanza kawasajili na hawajacope mfumo wa timu.....
Anatakiwa abadilike......Nasikia kila siku anagombana na Fred Felix Minziro ktuokana na upangaji wake mbovu wa timu....
Nilisema mi jana nikaambia ' play your part'
cecafa ni ya ajabu!Nakubaliana nawe lakini siamini kama TIMBE ni kocha wa ajabu!! Labda usema CECAFA ni ya ajabu......
Maajabu ya TIMBE labda ni ile hali ya timu yake kupata ushindi hata kama ni mbovu/inacheza hovyo....Nakubaliana nawe lakini siamini kama TIMBE ni kocha wa ajabu!! Labda usema CECAFA ni ya ajabu......