CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,858
- 687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaomba uzalendo wenu hiyo kesho.................
Nilisema mi jana nikaambia ' play your part'
Maajabu ya TIMBE labda ni ile hali ya timu yake kupata ushindi hata kama ni mbovu/inacheza hovyo....
Timbe ni mbishi sana hasa kwenye kupanga wachezaji gani waanze/wacheze na anagombana na msaidizi wake Minziro karibu kila siku....
Na kuna siku alimfukuza Tegete mazoezini kisa kachelewa kufika uwanjani.......
Labda anawajaribu wachezaji wake wapya ili apate pattern ya kuwachezesha ingawa wanazi wa yanga tunataka kikombe mambo ya pattern ya mchezo/timu na formation yatakuja baadae kwenye ligi.
itabidi muwe wavumilivu kidogo, ngoja timbe aendelee kujipanga akivurunda nusu fainali ndo mumkalie kooni, sasahivi ni mapema mno.
Yanga ndivyo tulivyo
Tunatumia pesa nyingi sana kusajili lakini ukija kuangalia kinachofanyika uwanjani unashindwa kuelewa kabisa
Huku kwenye soka nako kuna virada vingi sana msimu wa usajili.
mi ni mshabiki mkubwa wa yanga bt kiukweli Mwamuzi wa Leo Sylivester katubeba, hata kama tumeshinda lakini ukweli lazima tuusemeyanga wamebebwa! ni aibu kwa mpira wa ea.
We Mentor, njo uchukue zawadi, umebashiri ukapatia, yanga 6+5 ya red c=11, hongeraaaaaa!!!!Aaai wapi! utatusikilizia bombani....leo mtu anakula 11 goli....hadi kipa wetu mpya lazima afunge!
dah! Yahaya bin sheh alikufa na utabiri wake, waliobaki wote ni wagonjwa wa akili, vichaa na matahiraNasikitika kuwatangazia ndugu zetu, watani wetu wapinza, na mahasimu wetu dar young africans kuwa hata wafanyaje leo kufa lazima....