CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

hongereni watani,pamoja jumapili, hapo sasa kutakuwa hakuna uzalendo ni usimba na uyanga tuu
 
Hongera yanga Jumapili kichapo kinawasubiri hapo hakuna kubebwa kwa mbeleko
 
Si mchezo, tuonane sunday msisahau kuja na refa wenu, si twachapa tu hatuangalii makunyanzi!
 
kama namuona mnyama atakanyokuwa mtamu, mishkaki ya motoooooooooooo, Mnyama lazima tumle BARBECUE JPILI!
 
Duh,watan hongeren!sasa nijichange kitu cha taifa jumapili!simba kidume oyeee!yanga mnabeebwaaa,
 
Back
Top Bottom