CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Duh,watan hongeren!sasa nijichange kitu cha taifa jumapili!simba kidume oyeee!yanga mnabeebwaaa,
hahahaha mawazo mgando mengine haya. J2 tutajua nani anabebwa coz hata simba kapita kwa penalt
 
Mtaimba Yanga kabebwa hadi ubingwa . . . . .
Jpili ni mishikaki tu ya mnyama
 
Dar es Salaam, Tanzania – St. George FC failed to reach the final of the CECAFA Kagame Clubs Cup after losing 5-4 to Young Africans "Yanga" of Tanzania on penalty kicks here today.
Yanga will face their Tanzanian counterpart Simba in the final, while St. George will take on El Mereikh of Sudan for 3[SUP]rd[/SUP] place finish.
Simba defeated El Mereikh of Sudan also on penalty kicks in the semi-final match played here yesterday.
Missed Penalties
The two teams finished scoreless in regulation and the 30 minutes in extra time failed to produce any goals.
Yanga missed their first penalty kick but St. George failed to capitalize on the golden opportunity after top striker Salhadin Said and Anthony Bongole missed their kicks from the spot.
St. George lost 2-1 to APR of Rwanda in last year's final, but they got their revenge when they beat them 3-1 in their Group C match.
From: Ethiopiasport.com
 
Yanga imetinga fainali kwa kubebwa tena,leo ikiwa mbele ya st.george kwa penati.Yanga imebebwa tena kutokana na mechi ya robo fainali kubebwa kwa kupewa nafasi ya kupiga penati marambili baada ya kukosa ile ya kwanza.

Leo ikawa kituko ambapo penati ya Nadir iligonga mwamba na kugonga chini kisha ikatoka nje ambapo ilikubaliwa na refa lakini ikajitokeza pia kadhia hiyohiyo kwa upande wa st.george na refa akakataa na kuwapa wazee wa mbeleko ushindi.

Marefa waliochezesha mechi za robo na nusu fainali zinazowahusu yeboyebo walisindikizwa na wazee wa kombati. Watani ngojeni kichapo kutoka kwa Simba Jpili labda mbebwe kama kawaida yenu.
 
SImba wajanja sana . . . . hahahahahah
Eti Yanga kabebwa wakati kumbe St Geogre ndo walibebwa baaada ya refa kukataa goli la Yanga
Wale wahabeshi tungewamaliza dk 90 tu
 
Nilivyofuatilia hii michezo ya kombe la Mzee wa genocide, nina kila sababu ya kuamini kuwa Kombe hili linabaki YANGA. Timu hii imeonesha umahiri na ubora wa hali ya juu, mfumo ulio endelevu na uliojaa umakini na nidhamu ya hali ya juu. Tutegemee goli mbili kwa moja siku ya fainali.
 
nafainali pia tutabebwa 2tachukua kombe na hela sawa kijana
 
Back
Top Bottom