Ndugu, bado unaangalia tu hiyo stesheni!?
mkuu siyo u 17 ni u 21
Quarter finals on Monday
Tanzania vs Ethiopia
Usiniulize ni kwanini tunacheza nao tena Jumatatu!
Litbc badala ya kuonyesha hii mechi eti yameweka sijui bundesliga alafu yanatangaza kwa kiswahili, hovyo sana hii tv. Ifungwe tu!