CECAFA Makundi: Tanzania vs Ethiopia

CECAFA Makundi: Tanzania vs Ethiopia

Status
Not open for further replies.
Litbc badala ya kuonyesha hii mechi eti yameweka sijui bundesliga alafu yanatangaza kwa kiswahili, hovyo sana hii tv. Ifungwe tu!

...heri bundesliga wamejaa proffesional kuliko hilo kombe la mbuzi.
 
Hivi wao tbc wanajijua kwamba wanaboa?maana sijawahi kuona kituo cha tv ambacho ni cha hovyo kama tbc wanakula pesa ya walipa kodi.Mh.JPM yupia jicho pale tbc
 
Hivi wao tbc wanajijua kwamba wanaboa?maana sijawahi kuona kituo cha tv ambacho ni cha hovyo kama tbc wanakula pesa ya walipa kodi.Mh.JPM tupia jicho pale tbc
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom