Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea.
Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya.
Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri.
Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM.
Kenya nayo sio kitoto. Ilimpiga Somali 6 kwa nunge.
Ila nimependa Somali wanavyovaa. Full kujisitiri
Zanzibar wanapigwa tu. Jana walikula 3 bila kutoka Uganda.
Utachagua uende KMC kuangalia au tukutane Youtube au tubaki hapa jukwaani.
Saa 10 jioni.