CECAFA U-17 Women’s Championship 2026 | Tanzania vs Kenya | 17 June 2026 | 04:00 PM | KMC Dar es Salaam!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa Team za Wanawake umri chini ya Miaka 17, Africa ya Mashariki na Kati kwa mwaka 2026 yanaendelea.

Leo Tanzania inakipiga na jirani Kenya.

Tanzania ilicheza ikampiga Sudani 10 kwa bila. Madogo wako vizuri.

Mwanadada Bahati anakipiga hatari, akaibuka WOM.
Kenya nayo sio kitoto. Ilimpiga Somali 6 kwa nunge.

Ila nimependa Somali wanavyovaa. Full kujisitiri


Zanzibar wanapigwa tu. Jana walikula 3 bila kutoka Uganda.

Utachagua uende KMC kuangalia au tukutane Youtube au tubaki hapa jukwaani.

Saa 10 jioni.
 

Attachments

  • IMG_9125.jpeg
    185.9 KB · Views: 16
  • IMG_9124.jpeg
    292.7 KB · Views: 13
  • IMG_9125.jpeg
    185.9 KB · Views: 13
  • IMG_9125.jpeg
    185.9 KB · Views: 14
  • IMG_9125.jpeg
    185.9 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…