CECAFA U20 Semifinal: Tanzania Bara U20 Vs Sudan U20

CECAFA U20 Semifinal: Tanzania Bara U20 Vs Sudan U20

SPINE

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2017
Posts
1,068
Reaction score
1,150
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) wanakutana na vijana wenzao wa nchini Sudan katika mtanange wa nusu fainali ya Cecafa U20 2019. Mchezo huo unapigwa sasa uwanja wa Pece-Stadium, Gulu . Mungu ibariki Ngorongoro heroes, mungu ibariki Tanzania.

Mchezo huo unapatikana online FUFA TV......link hii hapa chini
 
Dk 55 Tanzania 2- 1 Sudan
 
vijana leo kubutua kumekuwa kwingi
 
Dk 70, bado matokeo ni Tanzania 2- 1 Sudan
 
Full time: Tanzania 2- 1 Sudan
 
Hii timu iende hvyo hvyo wawe timu ya taifa...wasiwekwe wale makandokando ya kariakoo
 
Back
Top Bottom