CECAFA Women's Championship: Harambee Starlets 2 - Kilimanjaro Queens 0

Hapa hata sishangai maana hawa huwa hawatupi tabu, watu wa mdebwedo, ushirikina haukuwasaidia.
 
Mistake ya beki na msuli wa kipa ndo sababu ya magoli. No creativeness kwa both teams but hongereni wakenya
 
Mistake ya beki na msuli wa kipa ndo sababu ya magoli. No creativeness kwa both teams but hongereni wakenya
Katika wote waliokoment wewe umeandika point kubwa sana na pia hapo ulipomalizia kuwapa hongera safi sana ,kiuhalisia hakuna timu iliomzidi mwenzie kati ya Kenya na TZ na hii inaonyesha kupata hili kombe Uganda watasubir sana zitakua zinapokezana nchi mbili tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…