Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani miaka yote iliyopita mlikuwa mmefungwa mikono na macho?This was a walkover by any chance.Hii hata tungefungwa mikono na tufunge macho bado tungeshinda tu.
lazy bones cannot beat Kenya hata kwa dawaKwani miaka yote iliyopita mlikuwa mmefungwa mikono na macho?
CECAFA Women's Championship - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Dawa yako ipo kwenye hii link.lazy bones cannot beat Kenya hata kwa dawa
Tihihihihihi KENYA 2 DANGAGIZA 0
Tanzania tuko na makombe mawili ya CECAFATihihihihihi KENYA 2 DANGAGIZA 0
Dawa yenu ipo kwenye hii linkHapa hata sishangai maana hawa huwa hawatupi tabu, watu wa mdebwedo, ushirikina haukuwasaidia.
mngeshinda hii mngesema ni mafanikio ya magu…..tihihihihi...hadi rahaTanzania tuko na makombe mawili ya CECAFA
kenya mko na kombe moja 😂😂😂
Haha.Leo uchawi hukufanya kazi??😂😂😂
mngeshinda hii mngesema ni mafanikio ya magu…..tihihihihi...hadi raha
tihahahaaa….rahaaa…..sasa mlete team ya wanaume tuwagaragaze na team ya wanawakeCECAFA Women's Championship - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
tihahahaaa….rahaaa…..sasa mlete team ya wanaume tuwagaragaze na team ya wanawake
mngeshinda hii mngesema ni mafanikio ya magu…..tihihihihi...hadi raha
kwa mdomo tu,wako na world cup......now you realize all the lies in jf ni kujiliwaza tuHili debe tupu lipo wapi. kweli emty mkepe make loudest noises!!
Wakenya wana bahati mbaya kweli, leo tena wameangukia mikono katili ya Watanzani kwenye fainali CECAFA
- Thread starter [U]MSAGA SUMU[/U]
- Start date Saturday at 10:04 AM
Katika wote waliokoment wewe umeandika point kubwa sana na pia hapo ulipomalizia kuwapa hongera safi sana ,kiuhalisia hakuna timu iliomzidi mwenzie kati ya Kenya na TZ na hii inaonyesha kupata hili kombe Uganda watasubir sana zitakua zinapokezana nchi mbili tuMistake ya beki na msuli wa kipa ndo sababu ya magoli. No creativeness kwa both teams but hongereni wakenya