Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 13, 2011 #1 Kuna habari kwenye gazeti la michezo la leo 13/12/2011 kuwa Emmanuel Okwi alitangazwa na kupewa joint top scorer na akina Karekezi wa CECAFA Challenge cup ilyoisha majuzi wakati ana goli 4 tu,pungufu ya moja kwa wenzie.Uzembe gani huo wa waandaaji.
Kuna habari kwenye gazeti la michezo la leo 13/12/2011 kuwa Emmanuel Okwi alitangazwa na kupewa joint top scorer na akina Karekezi wa CECAFA Challenge cup ilyoisha majuzi wakati ana goli 4 tu,pungufu ya moja kwa wenzie.Uzembe gani huo wa waandaaji.
Sinkala JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 1,773 Reaction score 688 Dec 13, 2011 #2 Yanga bana!
M mageuzi1992 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2010 Posts 2,502 Reaction score 256 Dec 13, 2011 #3 Duh! Madudu mengine hayo!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 13, 2011 Thread starter #4 Sinkala said: Yanga bana! Click to expand... Yeye mwenyewe kakiri kuwa hakustahili.
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,897 Reaction score 10,213 Dec 13, 2011 #5 Hawa CECAFA hata mimi ningecheza Stars ningechaguliwa mchezaji bora
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 13, 2011 Thread starter #6 Belo said: Hawa CECAFA hata mimi ningecheza Stars ningechaguliwa mchezaji bora Click to expand... Yaani kila kitu ni uozo tu.
Belo said: Hawa CECAFA hata mimi ningecheza Stars ningechaguliwa mchezaji bora Click to expand... Yaani kila kitu ni uozo tu.