Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kuna habari kwenye gazeti la michezo la leo 13/12/2011 kuwa Emmanuel Okwi alitangazwa na kupewa joint top scorer na akina Karekezi wa CECAFA Challenge cup ilyoisha majuzi wakati ana goli 4 tu,pungufu ya moja kwa wenzie.Uzembe gani huo wa waandaaji.